Makapuku Forum

Za Weekend MAKAPUKU,
Nimekuwa nikimfuatilia huyu mtangazaji wa EATV kwa aina yake ya utangazaji, yupo makini sana naamini anaiweka tasnia ya habari mahali pake, maana wasoma habari wengi wanaoibuka kwa sasa wamekuwa wakiigana sana kwa jinsi ya kutangaza, nina amini huyu jamaa akiendelea hivyo atakuwa mtangazaji wa kuigwa katika tasnia ya habari.
Kuna makala yake ilitoka kwenye gazeti ikielezea historia yake kuwa msomi mwenye shahada ya uzamili katika ngazi ya utawala wa biashara, amekuwa akionekana katika shughuli mbalimbali za ujasiriamali.
Soma zaidi kuhusu huyu mtangazaji hapa: Materu, mshona viatu, mkulima anayetafuta shahada ya uzamivu

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…