Makapuku Forum

Makapuku Forum

Celery ndo hua zinafanya salad lakini ni tofauti kidogo na hizo za kwenye picha
Kwan hizo celery zikoje mana kuna siku nilizila hizo kwenye picha ila nlisahau tu kuuliza, ilikua salad kule buziness class wakat narud nlikua economy sikuziona
 
Wakongwe wameanza kujambajamba km vile wamelishwa mapapai pori
fe75232c300ea0e31a4b17ad2a0c882f.jpg

Hawatuwezi
................
 
Si wamemleta patna wake anaitwa Takuma
4f5f76982c0544ae62070d3f5b18f6a2.jpg


.............
Hahaaa... Nyambaf kabisa wenger na wachezaji wa ajabu, arsenal haipaswi kuwa ya wachezaj wa "future tense", inafaa kuwa ya "present tense"

Tuliozoea kujitizamia arsenal ya kina overmars, berkgamp, henry kichogo, ray parlour, viera patrick, pires etc, tunajionea chama letu kama kichef chefu siku hizi, hatuna jinsi tu, lakin mioyo yetu ishasepa kitambo imebaki miili tuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom