Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wema...pamoja na Wema wote kaachwa kwenye mataa
96c1735442L.jpg
 
Hahaaa... Nyambaf kabisa wenger na wachezaji wa ajabu, arsenal haipaswi kuwa ya wachezaj wa "future tense", inafaa kuwa ya "present tense"

Tuliozoea kujitizamia arsenal ya kina overmars, berkgamp, henry kichogo, ray parlour, viera patrick, pires etc, tunajionea chama letu kama kichef chefu siku hizi, hatuna jinsi tu, lakin mioyo yetu ishasepa kitambo imebaki miili tuu.
eebffdacd622aae4a184161ced44c9b8.jpg

Prof Wengewenge mpuuzi ndio maana kafanana na Mr.Bean
...........
 
Ile ndo nalog in Jf time hii, mara nakutana na jukwaa la wakongwe!
Bwahaaaaaaaa! alaf Jamaa mwenyewe anachati peke yake..
dd10074b57df739d9c4c544e2de1bd49.jpg
nafwazzzzz miye..
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Full fujo anaitwa majina km kiranja darasani
Wamemkaushia lkn kauzu....bando lake likikata au akili ban ndo thread itasimama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

...........
 
Back
Top Bottom