Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
Ngoja tutangaze tendaKm vp mtaalamu mwingine arithi mikoba
![]()
![]()
![]()
![]()
..............
Ngoja tutangaze tendaKm vp mtaalamu mwingine arithi mikoba
![]()
![]()
![]()
![]()
..............
Takuma AsanoHuoni usajili bomba.....season hii watachukua![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
..............
Kwema sana mkuu...karibu kilingeniZa jioni makapuku
Maneno mazuri sana hayaNUKUU NO 1# . Siku zote lazima kutambua kwamba watu hawagombei dhana (ideas) hawapo kilichomo kichwani mwa mtu. Wanapigania mambo ya kidunia yatakayowapa raha maishani, wawe na maisha mazuri yenye amani. Wanataka kuona ustawi wa maisha yao, wawe na uhakika wa maisha ya baadaye ya watoto wao. . Haya yalisemwa na Amilcar Cabral, katika baadhi ya maandishi yake mwaka 1965. Cabral ni mwanamapinduzi wa guinea -Bissau, aliyezaliwa September 12,1924 na kuuawawa January 20,1973
Nyerere alikuwa special kwakweliNUKUU NO 2# . Uaminifu na imani katika mioyo ya wanachama wa TANU ni vitu muhimu zaidi kuliko idadi ya matawi ya TANU au idadi ya wanachama, haya yalisemwa na Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere, Sept 8, 1971 mjini dar es salaam wakati akifungua rasmi tawi la TANU kwenye makao makuu ya wizara ya elimu ya Taifa, katika hotuba yake ya ufunguzi, mwalimu alitilia mkazo umuhimu wa Elimu ya watu wazima. Mwalimu Julius Nyerere alizaliwa April 13,1922 na kufariki Dunia Oct 14,1999
KaribuHodi hapa Makapuku..
Kwema kabisa, Asante nimeishakaribia,habari za mihangaikoKwema sana mkuu...karibu kilingeni
Nyerere alikuwa special kwakweli
NUKUU NO 2# . Uaminifu na imani katika mioyo ya wanachama wa TANU ni vitu muhimu zaidi kuliko idadi ya matawi ya TANU au idadi ya wanachama, haya yalisemwa na Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere, Sept 8, 1971 mjini dar es salaam wakati akifungua rasmi tawi la TANU kwenye makao makuu ya wizara ya elimu ya Taifa, katika hotuba yake ya ufunguzi, mwalimu alitilia mkazo umuhimu wa Elimu ya watu wazima. Mwalimu Julius Nyerere alizaliwa April 13,1922 na kufariki Dunia Oct 14,1999
Kwa hisani yenu wote jamani nawaomba mkaseme kitu kwenye huu uziZa jioni makapuku
nataka upande juu tu basi
Ni poa tu...
Haya twasubiri.
Ngoja tutangaze tenda
Dah pole, labda ujaribu kureinstall hiyo app ama chek vizur settings za notificationNdio kwasasa iko poa kabisa, ila siku chache zilizopita haikuwa sawa, kwasasa changamoto ni notification..... Kuna wakati napata kuna wakati sipati
njema sana, tupo mkuuKwema kabisa, Asante nimeishakaribia,habari za mihangaiko
Sawa ntafanya hivyoDah pole, labda ujaribu kureinstall hiyo app ama chek vizur settings za notification
Hii picha nimeitolea mtandaoni tu baada ya kuiona lakin nishawah kuila, kuna baadhi ya flight unaweza kukutana nayo kama saladHapana siifahamu kabisa
We umeipata wapi?
Safi tu shululu, umeshindaje??Za jioni makapuku