Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
Golikipa wa Arsenal mbona kapotea sana, saa hizi ni mida yake ya Top10
Cha msingi kukomaa tuMambo kama yanazidi kubana siku zinavyosonga lakin tunabishana tu kama vile hakuna kinachotokea
Km vp mtaalamu mwingine arithi mikobaGolikipa wa Arsenal mbona kapotea sana, saa hizi ni mida yake ya Top10
labda EPL ya Kisarawe
![]()
Sijamsikia muda sanaLinamo..
Ndio kwasasa iko poa kabisa, ila siku chache zilizopita haikuwa sawa, kwasasa changamoto ni notification..... Kuna wakati napata kuna wakati sipatiJana nlipita humu night kali kimyakimya nkaona post unailalamikia app ya JF kwenye simu yako, vp now iko poa?
Hapana siifahamu kabisa![]()
Wadau kama kuna aliyewahi kukutana na hii mboga naomba anisaidie jina lake tafadhali naitafuta ila siijui, Jimena na Patience123 pia nakuona msaada kwenye tuta pls
Kaadimika kama dalaGolikipa wa Arsenal mbona kapotea sana, saa hizi ni mida yake ya Top10
Best unatatzo kama langu. Mie still inasumbua.Ndio kwasasa iko poa kabisa, ila siku chache zilizopita haikuwa sawa, kwasasa changamoto ni notification..... Kuna wakati napata kuna wakati sipati
Umesajiliwa rasmi KF .......Kazi kwako sasaBest unatatzo kama langu. Mie still inasumbua.
Sawa, muheshimiwa nyangema.Umesajiliwa rasmi KF .......Kazi kwako sasa
No shobo
No ufagio
No superstar
Nacheki list # 2
......................
Ni poa tu...Nilitingwa sana Leo punde nawaletea nukuu ya leo
Me ni KAPUKU TUSawa, muheshimiwa nyangema.
NUKUU NO 1# . Siku zote lazima kutambua kwamba watu hawagombei dhana (ideas) hawapo kilichomo kichwani mwa mtu. Wanapigania mambo ya kidunia yatakayowapa raha maishani, wawe na maisha mazuri yenye amani. Wanataka kuona ustawi wa maisha yao, wawe na uhakika wa maisha ya baadaye ya watoto wao. . Haya yalisemwa na Amilcar Cabral, katika baadhi ya maandishi yake mwaka 1965. Cabral ni mwanamapinduzi wa guinea -Bissau, aliyezaliwa September 12,1924 na kuuawawa January 20,1973
Pole sana uninstall application kisha uinstall tenaBest unatatzo kama langu. Mie still inasumbua.
Late is better than neverNilitingwa sana Leo punde nawaletea nukuu ya leo