Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kuna pipo zinaibuka 1 day tunaziweka kwenye list zen zen zinasepa hazina support wala faida yoyote zaidi ya kutaka tu majina yao yaonekane.......Sasa utaratibu mpya hawekwi mgu hadi tuone support ht list owe fupi km andunje haina noma ilimradi kuchat wapo FREE
................
Ni kweli, wanalamba likes, then wanasepa, wengi nawaona wanazurura kulee majukwaa fln
 
Nyie Mandezi ndo mnaowapa........
Mi siLIKE mtu asiyenilike acheni kushobokashoboka km Kaboka
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
...................
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Coz ndezi mkubwa wewe huanza kwa kuwakaribisha na kuwapa kifungu#3[emoji85]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Coz ndezi mkubwa wewe huanza kwa kuwakaribisha na kuwapa kifungu#3[emoji85]
Juwakaribisha lazima/muhimu lkn wakijifanya makauzu unawapotezea tu tunaendelea na yetu
Mfn umemkaribisha hajakujibu basi na wewe unampotezea tu
Acha undezi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
..............
 
Sawa ndezi wa mbezi mla ulanzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ndo hivyo mdau ndo kutakuwa na KUHESHIMIANA badala ya watu kujiona mastaa au kuona huu uzi wa kizoba
Fanya km nilivyokuelekeza uone heshima yake
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
...........
Chunguza sana wageni huwa siwakimbilii hadi nione kusudi lao, unaweza kulike then mda mfupi anatutusi na kuishia, mfano kuna gaden kimaron huwa simuelewi so huwa nampita kimya, nafikiri unamwelewa kwani weww mwerevu[emoji23]
 
Ulivyomuelewa ndo ivo ivo
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
.............
 
Back
Top Bottom