Makapuku Forum

Makapuku Forum

NUKUU NO 2# kwa kweli kwetu sisi uhuru wa watu kujipangia mambo yao wenyewe na kuweza kujiendeleza wenyewe katika hali zenu ni sehemu muhimu ya shabaha yetu; Maneno hayo yalitamkwa na Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, September 1971, alipo kuwa akielezea kuhusu maendeleo ya miaka kumi ya uhuru. Nyerere alizaliwa April 13,1922 na kufariki Dunia Oct 14,1999
R I P Tata
 
Kama Jimena
6db19b23c4f8ff7ca705b555d9eb49da.jpg
Yupo bize anajisomea leo

.............
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom