Niko poa mkuu, sijui wewe.Uko poa!
Naona kombe linatakiwa libaki kwa mwenyeji..Morning family...
Kwa hisani ya yule Lubuva aliechezesha Mechi ya jana nawaletea kurasa za mwanzo na za mwisho za magazeti yetu ya leo kama ifuatavyo
View attachment 364065View attachment 364066View attachment 364067
Nashukuru uzima upoNiko poa mkuu, sijui wewe.
Ni kweli kabisaNaona kombe linatakiwa libaki kwa mwenyeji..
Acheni UndeziNaona kombe linatakiwa libaki kwa mwenyeji..
Leo katika Historia:
1948 - Jeshi la Anga la Marekani laanza kuajiri askari wa kike katika jeshi .
Leo katika Historia:
1980 - Robbie Keane anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira wa miguu toka Ireland.