Iron ladyNUKUU NO 1# Tofauti Kati yetu sisi binadamu na aina nyingine za wanyama ni kwamba,sisi tunajua namna ya kutumia maarifa. Maneno haya yaliwahi kutamkwa na mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Madeleine Albright. Alizaliwa Mei 15,1937,ni mwanasiasa na mwanadiplomasia wa Marekani
NUKUU NO 1# Tofauti Kati yetu sisi binadamu na aina nyingine za wanyama ni kwamba,sisi tunajua namna ya kutumia maarifa. Maneno haya yaliwahi kutamkwa na mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa waziri wa mambo ya nje wa Marekani, Madeleine Albright. Alizaliwa Mei 15,1937,ni mwanasiasa na mwanadiplomasia wa Marekani
Kwa hisani ya CR7 nawatakieni jioni njema
Uliwahi kushiriki ?Mimi mbona sipo?
Kama JimenaIron lady