Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,228
- 39,956
Poa sana. Za eid pili?Habari za hapa wakuu
Poa sana. Za eid pili?Habari za hapa wakuu
Papaa ukumbi uko tuliiiBora umekuya Papaa
Mh!!!Hivi unaelewa maana ya hili neno lenye red hapo?![]()
i think Kroos will be the nex[t/b]
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
unasemaaa???......ai dont noo inglish at ol

Papa 7/7 imeendajePoa sana. Za eid pili?
Yaani leo page hazisogei kabisa!!!Papaa ukumbi uko tuliii
Njema mkuu, lete mamboHabar zenyu wakuu
TiririkaLeo simply tuna cheki watu walo pata PhD wakiwa na umri mdogo zaid
Phd ni shahada ya uzamivu yaan digrii ya tatu na ya mwisho kwenye rank za masomo
Dogo kweliNumber 10, Akshay Venkatesh –miaka 20
alimaluza high school akiwa na miaka 13 ba akaenda University of Western Australia, aka graduate na first class honors in Mathematics mnamo mwaka 1997akiwa kijana mdogozaid kufanya hivo kwenye hiko chuo na aliendelea na Master degree na baadate akapata PhD mnamo mwaka 2002, hivi sasa ni profesa huko Stanford University.![]()
Hongera kwa babakeNumber 9, Erik Demaine – 20
alizaliwa Nova Scotia, huko Canada, baba yake alimtoa kwenye shule za serikali akiwa na miaka 7 na akaanza kumfundisha akiwa nyumbani, na kwakua miaka hiyo ndio computer zina ingia kijana alifanikiwa kujua computer vizuri na hiyo tuu ilimfanya kuingia chuo kikuu cha Dalhousi huko Halifax, Nova Scotia, na akafanikiwa kupata digrii yake ya kwanza katika computer akiwa na miaka 14 tuu, na haku ishia hapo kwani aliunganisha hadi PHD ambayo alihitim mwaka 2001 siku chahce tyu kabla ya kutimiza miaka 21![]()
Kwa sasa ni profesa chuo cha technolojia cha Massachusetts huko Marekan

Imeenda poa mkuuPapa 7/7 imeendaje
Swalamaaa, za kupotea???Habar zenyu wakuu