Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Hii ilikuwa huzuni sanaLeo katika Historia:
2005 - Milipuko minne katika njia za usafiri jijini London yalipuka na kuua watu 56 huku ikijeruhi watu zaidi ya 700
Hii ilikuwa huzuni sanaLeo katika Historia:
2005 - Milipuko minne katika njia za usafiri jijini London yalipuka na kuua watu 56 huku ikijeruhi watu zaidi ya 700
Asante sana mkuuMpaka hapo sina cha ziada, tukutane kesho tena kwa Udhamini mnono wa Sabasaba.
Wapumzike kwa amani
Mkuu acha nikushukuru, kazi yako ni njema nawe umetimiza ahadi uwe na amani, usiende 7 7 leo hakufai mkuuMpaka hapo sina cha ziada, tukutane kesho tena kwa Udhamini mnono wa Sabasaba.
Bitoz balaaa, hekooooo
Habari za leo dadaHappy Birthday Cassidy
Habari za 7/7Ndio naamka, aibu kusema gudi morng. Ishakuwa mchana, nasi tumeklemisha ukiamka unasema gudi morng papa.
Imekaa vema mkuuSwalama tu mkuu, hiv leo ni 7/7 au eid pili!!?
Hahaa
Kwani game ya leo wameshinda?i think Kroos will be the next..![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Wameenda 7 7Wapi wakuuu humu
Ngoja nijePeoples hi? Leo uzi hautembei kabisa