Makapuku Forum

Makapuku Forum

Number 5, Norbert Wiener – miaka 17
3851b6a5582f7c341606332f480e3b7c.jpg
hapo alisoma hesabu kautka chuo kiku cha Tufts alipo kuwa na miaka 14 mwaka 1909, mwaka 1912, Wiener akiwa na miaka 17 alutunukiwa PhD ya Mathematical Logic ya hapo Harvard University.
 
Number 3, Balamurali Ambati –miaka 17
3d7b9a912bd569bd092014ea0ed8d865.jpg
huyu akiwa na miaka 11 aliweza kumakiza digree na aliandika kitabu kuhusu uchunguzi wa AIDS akiwa na miaka 13 na mwaka 1995 ali graduate chuo kikuu cha New York na ana shikiria rekodi ya dunia ya kuwa dokta mdogo kuliko woteee dunian
 
Mmh
 
Dah!!!
 
Number 2, Kim Ung-Yong –miaka 15
0adf8e3df9ddcaac7d1047c1cfb22f54.jpg
Kim Ung-Yong akiwa na miaka mi 3 alikuwa akialikwa kufundishwa kama wana funzi wengine masomo ya sayansi huko chuo kikuu cha Kora Kusini na alipelekwa marekani na NASA ambalo ni shirika la anga la Marekani akiwa na miaka 8 kusaidia kufanya research na miaka 7 baadaye alipata PhD rasmi na huyu ndo ana shikiria rekod ya Guinness kama mtu mwenye IQ kubwa kuliko wote dunian

Hivi sasa alirudi Korea na anafundisha moja wapo ya Vyuo vya huko
 
Number 1, Karl Witte – miaka 13
7c998931fe2cdb49b3e1665afdfd7f95.jpg
alizaliwa mwaka 1800 na kwa kuwa alikuwa mtoto wa mwalimu wa chuo kikuu aliye bobea kwenye masuala ya elimu, mzee wake aliamua kumfanya research mwanaye mwenyewe na akiwa na miaka aliweza kuzungumza lugha 5 tofauti na akiwa na mika 13 alitunukiwa PhD yake ya falsafa na lugha
Baadaye alihama kutoka Marekani na kwenda Italy ambako alikuwa mwalim wa literature
 
Wenzetu wanajali sana vipaji maalum ndio maana hata yanawezekana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom