Makapuku Forum

Makapuku Forum

83b29822de840e2de4899ee859b4c0f4.jpg
 
Number 9, Erik Demaine – 20
78af9f057677045c761f66ee1e13ba3b.jpg
alizaliwa Nova Scotia, huko Canada, baba yake alimtoa kwenye shule za serikali akiwa na miaka 7 na akaanza kumfundisha akiwa nyumbani, na kwakua miaka hiyo ndio computer zina ingia kijana alifanikiwa kujua computer vizuri na hiyo tuu ilimfanya kuingia chuo kikuu cha Dalhousi huko Halifax, Nova Scotia, na akafanikiwa kupata digrii yake ya kwanza katika computer akiwa na miaka 14 tuu, na haku ishia hapo kwani aliunganisha hadi PHD ambayo alihitim mwaka 2001 siku chahce tyu kabla ya kutimiza miaka 21
Kwa sasa ni profesa chuo cha technolojia cha Massachusetts huko Marekan
Naona Mshua kaamua kum-teach mwenyewe
 
Number 2, Kim Ung-Yong –miaka 15
0adf8e3df9ddcaac7d1047c1cfb22f54.jpg
Kim Ung-Yong akiwa na miaka mi 3 alikuwa akialikwa kufundishwa kama wana funzi wengine masomo ya sayansi huko chuo kikuu cha Kora Kusini na alipelekwa marekani na NASA ambalo ni shirika la anga la Marekani akiwa na miaka 8 kusaidia kufanya research na miaka 7 baadaye alipata PhD rasmi na huyu ndo ana shikiria rekod ya Guinness kama mtu mwenye IQ kubwa kuliko wote dunian

Hivi sasa alirudi Korea na anafundisha moja wapo ya Vyuo vya huko
Watu Wengine wanaweza kukufanya ukajiona bogus!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom