Makapuku Forum

Makapuku Forum

3) b, mwanamuziki Paul MccCarteney $1.1 billion
Ndiye anayeshikilia namba mbili duniani kwa mwanamuziki tajiri
1467727284779.jpg
 
Jimena tusaidiene hapa,
Raia wa hizi nchi kwa kiwango kikubwa ni mabahili, wale wa sekta za utailii,,guides, hotelia nk huwa hawapendi sana hawa jamaa, wabahili balaaa, suala tipu baada ya huduma huona ni rushwa, nimewahi kufuatilia utamaduni wao hasa wadanishi from viking( waiking) ni waadilifu sana, walikuwa wakituma bidhaa kwa gari na kuandika anuani zao, wanunuzi nao walipokea na kutuma pesa kama parcel kwa kutumia anuani husika, jimena kuja pliz lete uzoefu wako waswidish siwafaham saana
Hahahahahaha labda hawatoi tips kwavile hawaridhishwi na huduma,
Cc Zamaulid
Wadanish ni wabahili mno yani ni wabahili sanaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom