Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,295
Mshikomrefu sana huuHongera yake
Mshikomrefu sana huuHongera yake
Aitoe wapi ....wanajua kula madude tuTupia picha
Kikofia mnywa viroba ajisaidia haja ndogo kila wakati[emoji85] [emoji85] natania tuWw Kikofia mpuuzi sn
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
Unasemaje?Ww Kikofia mpuuzi sn
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Unasemaje?![]()
Angalia usije ukadumbukia kwenye shimo[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
..........
Huyu naujua wimbo wake mmoja tu, ni Perfect combination kati ya Michael Jackson na Paul McCartney wimbo unaitwa the girl is mine ,3) b, mwanamuziki Paul MccCarteney $1.1 billion
Ndiye anayeshikilia namba mbili duniani kwa mwanamuziki tajiri
Sana wakati kashazeekaMshikomrefu sana huu
WeraaaaaaaaaaaaaJe wajua..?
Jonax ndiye mmiliki wa kampuni ya City Boy. Na ndo mwenye yale mabasi mawili ya City Boy yaliyogongana/kupata ajali jana Manyoni Singida.
Kwa uthibisho zaidi kuwa ile kampuni ni yake tazama avatar yake inajieleza[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]![]()
4)je wajua?
Mwamama Emma Morano ndiye mwanamke anayeongoza kwa umri mkubwa anayeushi na alizaliwa 1899 Nov 29, kwa sasa ana miaka 116.
Ni raia wa Italy
Weraaaaaa weraaaaa weraaaaaaWeraaaaaaaaaaaaa
4)je wajua?
Mwamama Emma Morano ndiye mwanamke anayeongoza kwa umri mkubwa anayeushi na alizaliwa 1899 Nov 29, kwa sasa ana miaka 116.
Ni raia wa Italy
Na Ngedere Ungabure ndo kondakta FaizerFix wakalaJe wajua..?
Jonax ndiye mmiliki wa kampuni ya City Boy. Na ndo mwenye yale mabasi mawili ya City Boy yaliyogongana/kupata ajali jana Manyoni Singida.
Kwa uthibisho zaidi kuwa ile kampuni ni yake tazama avatar yake inajieleza[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]![]()
4)je wajua?
Mwamama Emma Morano ndiye mwanamke anayeongoza kwa umri mkubwa anayeushi na alizaliwa 1899 Nov 29, kwa sasa ana miaka 116.
Ni raia wa Italy
Na Ngedere Ungabure ndo kondakta FaizerFix wakala
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.............
Bitoz saidia hapa picha inakataa5) je wajua?
Jiroemon Kimura ni mjapani aliyezaliwa1897 na aliyefariki 2013, akiwa na miaka 116 ndiye anashikilia rekodi ya umri mkubwa duniani kwa wanaume