Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Ni kongwe sema tu walichelewa kwenye baadhi ya vitu.Kumbe BBC sio kongwe kama nilivyokuwa nafikiria
Limeanzishwa mwaka 1922
Ni kongwe sema tu walichelewa kwenye baadhi ya vitu.Kumbe BBC sio kongwe kama nilivyokuwa nafikiria
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Handsome.....
[emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji160] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Mwaka gani ulikuwa ukizivaa????asante sana!! Nilikuwa navaa products zake ila sikujua mwenyewe ni wa wapi
Km nguo zakoBendera mbayaaa
Basi ndo ushajuaasante sana!! Nilikuwa navaa products zake ila sikujua mwenyewe ni wa wapi
Thats fantastic maana nukuu imekuwa kama sukariBado sijarudi, Alhamis nitakuwa joto city
Hapo sawaNi kongwe sema tu walichelewa kwenye baadhi ya vitu.
Limeanzishwa mwaka 1922
Morning kaka akeMorning Guys...Shukrani mingi kwenu kwa taarifa hizi muhimu sana....
Hili vazi ni tamu sana ukiwa na figa inayoeleweka, lakini kama una tumbo utafikiri unakulaga ugali kilo 5 peke yako usijisumbue kulivaa
Km nguo zako
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
.........
To you too dada wa mimi..bila shaka upo salama salmini...Tunahesabu siku moja amma mbili tu tumalize mfungo..Morning kaka ake
Naombe nikakutembeze...niwe mwenyeji wakoIko siku ntafika mahala hapo nikafurahishe macho......
@ jimena katika ubora wakeView attachment 363154
[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133]
Makapuku kuna vifaaa[emoji7]View attachment 363154
[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133]