Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Usijali sie wengine tumeshauona hivyo kesho ni sikukuuJimena taratibu!!! chungu cha 29 leo ujue!!![emoji39] [emoji39]
Usijali sie wengine tumeshauona hivyo kesho ni sikukuuJimena taratibu!!! chungu cha 29 leo ujue!!![emoji39] [emoji39]
Hii lugha nayoVidingizio tu mkuu
Niliteleza dadake mieHii lugha nayo
Jimena napenda ukitabasamuu[emoji121] [emoji121] [emoji121][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Asante....Jimena napenda ukitabasamuu[emoji121] [emoji121] [emoji121]
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]Asante....
Sawa tunaingoja kwa hamu hiyo je wajua
Kama wewe umefika huko mimi nitashindwa[emoji12]Mwenyeji wangu kivipi?? Pandagichiza na japan wapi na wapi??
Jimena tusaidiene hapa,1) Je wajua?
Danmark, New zealand, Finland na Sweden ndizo nchi zenye kiwango kidogo karibu na hakuna rushwa duniani?
Asante....
Sawa tunaingoja kwa hamu hiyo je wajua
Pole sana mkuu na Mungu akufanyie wepesi katika hilo...Nasumbuliwa na vidonda vya tumbo
KakaPole sana mkuu na Mungu akufanyie wepesi katika hilo...
1) Je wajua?
Danmark, New zealand, Finland na Sweden ndizo nchi zenye kiwango kidogo karibu na hakuna rushwa duniani?
Poa sana bitoz
2) Je wajua?
Somalia, korea kaskz, sudan na Afghanist ndizo nchi zilizokithiri kwa rushwa duniani
AminaPole sana mkuu na Mungu akufanyie wepesi katika hilo...
Mkuu...Kwema?Kaka