briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Namkubali sana huyu jamaaNimem miss sana huyu jamaa
Namkubali sana huyu jamaaNimem miss sana huyu jamaa
Hata mimiNamkubali sana huyu jamaa
Young and Old at the same time, weird!Hiki kitoto nacho kama kizee
SanaaaYoung and Old at the same time, weird!
Haizidi 5,000 kwa siku, but usipokwenda nayo ukifika kule mbugani utatozwa kuanzia dollar 20 per night hadi dollar 30 kwa luxury tent, chakula mara nyingi tunaandaa lunch box inakuwa ni cheaper kuliko kununua hotel za mbugani hazifai, so tunakuwa vyakula fresh vya kupika na mabread, matunda huku day wani unakuwa na luch boxHivi gharama za tent ni pesa ngapi?? Na pocket money isipungue tshs ngapi kwa mfano??
Hahahaaa mgongoni honeyUnibebage kwa briefcase ukienda tena mpenzi
Kwa wanaotaka kutumia mda mfupi ndo wanatumia chopa na ni expensive sana lakin binafsi naona kwa gari ndo mtu unaenjoy zaid unaiona view kwa karibu zaidi huku mnatembea taratibuHapo sawa mkuu, ninauzoefu wa kutosha kwa mbuga hizi za kaskazini na Mikumi, safari kama hii ni ya matajiri wakubwa tena kwa chopa, vinginevyo hutaweza
SanaMliinjoy sana inaonyesha
Naona wakubwa wanafaidiMbona waguna kakaake?
Ni kweli lakini inachosha, nimewahi kufanya safari ya siku 7, kwa kweli haifai, siku 4 ndo wastani mzuri brizKwa wanaotaka kutumia mda mfupi ndo wanatumia chopa na ni expensive sana lakin binafsi naona kwa gari ndo mtu unaenjoy zaid unaiona view kwa karibu zaidi huku mnatembea taratibu
Sana...Naona wakubwa wanafaidi
Dah kweli ni ndogo, ina kitu gani unique??Hii ya momela/arusha park ni ndogo sana, unaenda asubuhi na by saa 9 mchana unarejea usa river, ni ndogo na ni nzuri kiasi
Ina makumbusho ya ndege aina nyingi sana walohifadhiwa kitaalam, black and white collubus, wanyama aina mbalimbali kwenye uwanda uitwao serengeti ndogo, ina kreta, maziwa madogomadogo, inavutia kiasi chake...bila kusahau kupanda mlima MeruDah kweli ni ndogo, ina kitu gani unique??
Acha tu, udilojijua ni sawa na usiku wa gizaNaona wakubwa wanafaidi
Mbora umefungukaSana...
Kimefanana na Diego CostaHiki kitoto nacho kama kizee
Dah huwezi kuamini nikikwambia hiyo safari haikunichosha hata kidogo ila sa hivi nikisafiri labda dar-kigoma moja kwa moja naamini ntachoka zaidi ya zile wiki mbili.. Labda kwasabu napenda sana adventures, kiukweli yale mazingira yalikua yananipa energy flani hivi afu kipande kinachochosha ni kuanzia atusha mjini mpaka pale tarangire na kuanzia manyara mpaka ngorongoro ila mkiishaingia mbugani mnaenjoy tu na kuna sehemu mnashuka na kutembea kidogoNi kweli lakini inachosha, nimewahi kufanya safari ya siku 7, kwa kweli haifai, siku 4 ndo wastani mzuri briz
Ila kenyewe ni kabaya zaidiKimefanana na Diego Costa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Labda sababu ilikuwa mara ya kwanza, hata hivyo umepitia njia nzuri, kuna njia ya longido, kupitia natron, loliondo hadi serengeti cleins gate ni balaaaDah huwezi kuamini nikikwambia hiyo safari haikunichosha hata kidogo ila sa hivi nikisafiri labda dar-kigoma moja kwa moja naamini ntachoka zaidi ya zile wiki mbili.. Labda kwasabu napenda sana adventures, kiukweli yale mazingira yalikua yananipa energy flani hivi afu kipande kinachochosha ni kuanzia atusha mjini mpaka pale tarangire na kuanzia manyara mpaka ngorongoro ila mkiishaingia mbugani mnaenjoy tu na kuna sehemu mnashuka na kutembea kidogo