Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Mbona hawafiki ile idadi uliyotaja??[emoji41] Una lingine la kuuliza?![]()
Mbona hawafiki ile idadi uliyotaja??[emoji41] Una lingine la kuuliza?![]()
Huyu kala chumvi kweli kweli4)je wajua?
Mwamama Emma Morano ndiye mwanamke anayeongoza kwa umri mkubwa anayeushi na alizaliwa 1899 Nov 29, kwa sasa ana miaka 116.
Ni raia wa Italy
Edit inagoma cjui kwanini![]()
Kumbe tyr
Uwe unaedit badala ya kurudia kupost
............
Wasingeweza kuenea wote kwenye camera, hvyo hao ni baadhiMbona hawafiki ile idadi uliyotaja??
Point[emoji115] [emoji115]![]()
Kumbe tyr
Uwe unaedit badala ya kurudia kupost unatuchanganya
............
Basi uwe unaleta post kamili ili tujue cha kuongezaEdit inagoma cjui kwanini
Rudi nyuma hatua 100 kisha uwapige picha woteWasingeweza kuenea wote kwenye camera, hvyo hao ni baadhi
Mmmh katam eeeHuyu naujua wimbo wake mmoja tu, ni Perfect combination kati ya Michael Jackson na Paul McCartney wimbo unaitwa the girl is mine ,
Ngoja nmeagiza helicopter, ikifika tu.. ntapiga picha nikiwa juu ya helicopter ili wote waenee kwenye cameraRudi nyuma hatua 100 kisha uwapige picha wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji121] [emoji121] Hili toto jonax lina laanaWeraaaaaa weraaaaa weraaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()
LolNgoja nmeagiza helicopter, ikifika tu.. ntapiga picha nikiwa juu ya helicopter ili wote waenee kwenye camera
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni mzushi hajui hata aina za dogs huyuMbona hawafiki ile idadi uliyotaja??
5) je wajua?
Jiroemon Kimura ni mjapani aliyezaliwa1897 na aliyefariki 2013, akiwa na miaka 116 ndiye anashikilia rekodi ya umri mkubwa duniani kwa wanaume
Kazi ipoNi mzushi hajui hata aina za dogs huyu
[emoji6] mambo...!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji6] mambo...!
Anaimba mahadhi gani?3) Je wajua?
Andrew Lloyd Webber ndiye mwanamuziki tajiri zaidi duniani mwenye utajiri wa $1.2 billionView attachment 363244
Pitia hapa mkuu upate burudane toka kwakeAnaimba mahadhi gani?
We ni boi nini???Hawa ni wagumu kurifhika, wana kaubaguzi sana, wana hasira na ubahili damuni mwao, nawafahamu sana hawa