Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 20,025
- 16,135
Mmmh jamani jamani....leo kazi nitafanya kweliHili vazi ni tamu sana ukiwa na figa inayoeleweka, lakini kama una tumbo utafikiri unakulaga ugali kilo 5 peke yako usijisumbue kulivaa
Mmmh jamani jamani....leo kazi nitafanya kweliHili vazi ni tamu sana ukiwa na figa inayoeleweka, lakini kama una tumbo utafikiri unakulaga ugali kilo 5 peke yako usijisumbue kulivaa
Na mimi nipo nisalimieMorning kaka ake
Mkuu nafurahi kukuona, twamis quoteaMorning all kapuku family
Kwani sukari bado ni luxurious goods[emoji15]Thats fantastic maana nukuu imekuwa kama sukari
Umefunga na wewe bro[emoji15]To you too dada wa mimi..bila shaka upo salama salmini...Tunahesabu siku moja amma mbili tu tumalize mfungo..
[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]Mpaka hapo sina la ziada tukutane kesho hapahapa jukwaani kwetu kwa Udhamini mnono wa Shisha.
KGoodmorning guys, mambo adje? Wacha tuisake fuba, Baadae[emoji111]
Ndo nn hii?[emoji121]
Yap mkuu nipo kwenye mfungo pia...Wewe hujafunga?Umefunga na wewe bro[emoji15]
Jimena taratibu!!! chungu cha 29 leo ujue!!![emoji39] [emoji39]View attachment 363154
[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133]
Nasumbuliwa na vidonda vya tumboYap mkuu nipo kwenye mfungo pia...Wewe hujafunga?
Vidingizio tu mkuuNasumbuliwa na vidonda vya tumbo
I mean visingizioVidingizio tu mkuu
Hapana mkuuVidingizio tu mkuu
Ni kweli kabisaTo you too dada wa mimi..bila shaka upo salama salmini...Tunahesabu siku moja amma mbili tu tumalize mfungo..
Mwenyeji wangu kivipi?? Pandagichiza na japan wapi na wapi??Naombe nikakutembeze...niwe mwenyeji wako
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]@ jimena katika ubora wake
Ramadhani hii [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mmmh jamani jamani....leo kazi nitafanya kweli