Makapuku Forum

Makapuku Forum

Number 10, ndoa iliyo dumu kwa sekunde kadhaa
059b0c57d752cea0240bcdf2003f03b4.jpg

Hii ilikuwa dubai mwaka 2012, ambapo bwana harusi ndugu
Abdul Salam baada tu ya kumaliza kufunga harusi msikitini aliondoka na kuelekea mahakama ya kadhi huko moja kwa moja , akidai baba wa bibi harusi ame mwambia bibi huyo hata acha kazi na wao walikubaliana aache kazi
 
Number 9, Mario Lopez na Ali Landry
925cdc601f3fe4bd9efc1cf622206add.jpg

Mwaka 2004 wakati waki toka honeymoon mastaa hao, walihojiwa kwenye televisheni na mario katika kunogesha kipindi aka dai alilala na mwana mke mwingine mpaka siku moja kabla ya harusi

Bibie Ali alivo skia hvo alitoka na ndani ya wiki moja walikuwa washa achana
Ndoa ilidumu wiki 2 tuu

Sasa hiv wako wap, mi sjui!!!
 
Yani hawa waliachana mara tu baada yakufunga ndoa
 
Number 9, Mario Lopez na Ali Landry
925cdc601f3fe4bd9efc1cf622206add.jpg

Mwaka 2004 wakati waki toka honeymoon mastaa hao, walihojiwa kwenye televisheni na mario katika kunogesha kipindi aka dai alilala na mwana mke mwingine mpaka siku moja kabla ya harusi

Bibie Ali alivo skia hvo alitoka na ndani ya wiki moja walikuwa washa achana
Ndoa ilidumu wiki 2 tuu

Sasa hiv wako wap, mi sjui!!!
Mwanaume alikuwa kicheche
 
Namba 8, Tammy Driver na Nicky Pearce,
7fea117b58914fc4b0216b3699282a7b.jpg

Mwaka 2012 huko wales, siku mbili baada ya kuona bwana harusi alimpiga bibi harusi mpaka kumvunja pua

Kisa!!?
Bwa harusi alidai, huyo bibie ali konyezana na best man (yaan msimamizi wa kiume) na alihisi bi harus na chepuka na rafiki ake huyo ndipo aka mkunja kunja hapo
Hadi wasamalia wema walipo kuja kuamua
Talaka ilichukua siku 2 kwa hiyo ndoa yao ilidumu siku 4 tuuu
 
Number 7 Jason Alexander na Britney Spears
7b79893267f59403460471e904d254c9.jpg
kwa kuwa hawa walikuwa ni marafiki toka utotoni (walicheza mpaka kibaba baba na kimama mama) sasa mwaka 2004 Britney alimchuka jamaa wakale good time tuu
Ila walipo fika huko kwenye good time wakapata mzuka wa kutangaza ndoa na wakaoana

Baada ya masaa 55 tuu ndoa ilisha na kila mtu aka rudi kwao
Britney ana dai alikubali ndoa bila kujitambua, sasa ali rogwa au vipi!!? mimi na wewe hatujui
 
Number 6, Dennis Hopper na Michelle Philips
8bf0706eea1099c8fcb26b8bd16c5fe4.jpg

Hawa bhana wali dumu siku nane tuu
Na inadaiwa siku ya harusi yenyewe bwana harusi alimpiga pingu bi harusi kwenye honeymoon
Ili asikimbie so alipo pata chance aka epa
Hiyo ilikuwa ni mwaka 1970
 
Back
Top Bottom