Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Usijali leo ipooooMkuu jiandae nakaribia kumaliza
Hata iweje
Niko studio naendelea kuweka mambo sawa
Usijali leo ipooooMkuu jiandae nakaribia kumaliza
Ngoja kwanza ninunue Bajaj nikijapanga kuvuta hiyo BMW ( Baba Mama Watoto )(1) JE WAJUA?
BMW 750 Ndilo gari linaloongoza kwenye kundi la magari yenye starehe duniani mwaka 2016, likifuatiwa na JAGUAR XFView attachment 361986
Bitoz ongezea mipichapicha
(1) JE WAJUA?

Bitoz ongezea mipichapicha[/QU
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3](3) JE WAJUA?
Selena Gomez wa USA ndiye msichana anayeshikilia rekodi ya mwanamke mrembo zaidi duniani kwa mwaka 2016View attachment 361993
Hajamzidi demu wangu(3) JE WAJUA?
Selena Gomez wa USA ndiye msichana anayeshikilia rekodi ya mwanamke mrembo zaidi duniani kwa mwaka 2016View attachment 361993
(1) JE WAJUA?
BMW 750 Ndilo gari linaloongoza kwenye kundi la magari yenye starehe duniani mwaka 2016, likifuatiwa na JAGUAR XFView attachment 361986
Bitoz ongezea mipichapicha
poa habar yako mkuuZa jioni wakuu
[emoji125] [emoji100]
sio haba...(3) JE WAJUA?
Selena Gomez wa USA ndiye msichana anayeshikilia rekodi ya mwanamke mrembo zaidi duniani kwa mwaka 2016View attachment 361993
pamoja sana mkuuKaribu mzee wa kumi (10) uendelee mbarikiwe wote pamoja sana[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Hebu tupia ka picha mkuuHajamzidi demu wangu
wacha waisome namba eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee,kapuku forum mbele kwa mbeleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee(5) Je wajua?
Makupuku forum ndio uzi wenye posts nyingi kuliko uzi wowote jf na unaoshikilia rekodi ya likes, jimena ndiye ke anayeongoza na bitoz ndiye me anayeongoza kwa likes jf
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]
Ameogopa kuomba....MZEMBE; Mambo Rehema?
REHEMA; Poa!!
MZEMBE; Kuna Kitu Nataka Nikuonyeshe!!
REHEMA; Kitu Gani!?
MZEMBE; Twende Chumban Kwako..
(Wakaenda)
REHEMA; Nionyeshe Basi!
MZEMBE; Funga Mlango na Madirsha
Kwanza..
(Rehema akafunga)
REHEMA; Nionyeshe Sasa!!
MZEMBE; Zima Taa Kwanza..
(Rehema akazima)
REHEMA; Mmh.. Haya Nionyeshe Sasa!!
MZEMBE; Haya Njoo Hapa Kitandani..
(Akapanda)
REHEMA; Ok, Nionyeshe..
MZEMBE; Ona Mwenzio
Nimenunua Saa
Yakuwakawaka.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Inabidi tuingie kwenye vitabu vya Guinness(5) Je wajua?
Makupuku forum ndio uzi wenye posts nyingi kuliko uzi wowote jf na unaoshikilia rekodi ya likes, jimena ndiye ke anayeongoza na bitoz ndiye me anayeongoza kwa likes jf
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]
(3) JE WAJUA?