Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
Ushauri wa bure![]()
Wazee wa michepuko jifunzeni kukaza macho
..........
Ushauri wa bure![]()
Wazee wa michepuko jifunzeni kukaza macho
..........
Yupo kwa dada yake (Lulu)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.... .......
Njema mkuu, habarZa jioni wakuu
[emoji125] [emoji100]
Mkuu jiandae nakaribia kumalizaSafi kaka
Nadhan mmeshinda salama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23](1) Je wajua?
BORDER COLLIE ni mbwa mwenye akili, utii na anayefundishika kwa urahisi kuliko aina ya mbwa wengine duniani.
Aina ya mbwa hawa walifundishwa kuchunga kondoo mpakani mwa Scotland na England kwenye mpaka wa Hilly. Pia hutumika kulinda/ kuchunga mashamba na ranchi.View attachment 361977View attachment 361978View attachment 361979View attachment 361981
Bitoz ongezea mapichapicha
Nimeliagiza hilo liko njiani(1) JE WAJUA?
BMW 750 Ndilo gari linaloongoza kwenye kundi la magari yenye starehe duniani mwaka 2016, likifuatiwa na JAGUAR XFView attachment 361986
Bitoz ongezea mipichapicha
hahahahMZEMBE; Mambo Rehema?
REHEMA; Poa!!
MZEMBE; Kuna Kitu Nataka Nikuonyeshe!!
REHEMA; Kitu Gani!?
MZEMBE; Twende Chumban Kwako..
(Wakaenda)
REHEMA; Nionyeshe Basi!
MZEMBE; Funga Mlango na Madirsha
Kwanza..
(Rehema akafunga)
REHEMA; Nionyeshe Sasa!!
MZEMBE; Zima Taa Kwanza..
(Rehema akazima)
REHEMA; Mmh.. Haya Nionyeshe Sasa!!
MZEMBE; Haya Njoo Hapa Kitandani..
(Akapanda)
REHEMA; Ok, Nionyeshe..
MZEMBE; Ona Mwenzio
Nimenunua Saa
Yakuwakawaka.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sasa umemwita mzembe kwa vigezo gani kisa kaonyesha saa au!!MZEMBE; Mambo Rehema?
REHEMA; Poa!!
MZEMBE; Kuna Kitu Nataka Nikuonyeshe!!
REHEMA; Kitu Gani!?
MZEMBE; Twende Chumban Kwako..
(Wakaenda)
REHEMA; Nionyeshe Basi!
MZEMBE; Funga Mlango na Madirsha
Kwanza..
(Rehema akafunga)
REHEMA; Nionyeshe Sasa!!
MZEMBE; Zima Taa Kwanza..
(Rehema akazima)
REHEMA; Mmh.. Haya Nionyeshe Sasa!!
MZEMBE; Haya Njoo Hapa Kitandani..
(Akapanda)
REHEMA; Ok, Nionyeshe..
MZEMBE; Ona Mwenzio
Nimenunua Saa
Yakuwakawaka.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
duuh aisee...(1) Je wajua?