lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Shukrani kiongozi, umetisha kwa outro ka yule msemaji wa yangaMpaka hapo sina cha ziada tukutane kesho hapahapa kwa Udhamini wa Kiingilio bure.

Kwa faida ya makapuku:
U r welcomeNakuamini sasa mpendwa
ndio mkuu, halafu ndio ikasambaa duniani kote.Kumbe ilianzia Uingereza??
AaaahLeo katika Historia.
1965 - Gary Pallister mchezaji wa zamani wa Man Utd na Timu ya Taifa ya Uingereza anazaliwa. Alikuwa akicheza nafasi ya beki.

nafikiri ni 112Hvi hapa bongo tuna tumia ipi!!?
swadakta kabisaaa...alikuwa akicheza beki ya kati na Steve Bruce ambaye kwasasa ni kocha wa hull city.
hahaha leo ni Uhuru wao...saa hizi sijui atakuwa mitaa ya LubumbashiCc mutu ya congo werrason
ThanksU r welcome
hahaha alicheza miaka ya 90.Sijawahi hata kumsikia![]()
![]()
![]()
Huyu jamaa nae kapotea siku hizi
duuh...mia miaShukrani kiongozi, umetisha kwa outro ka yule msemaji wa yanga![]()
![]()
Bondia wangu bora wa muda woteLeo katika Historia:
1966 - Mike Iron Tyson anazaliwa. Ni mmoja kati ya mabondia hodari kuwahi kutokea hapa duniani katika mchezo wa Masumbwi.
Kwa faida ya makapuku:
Karibia wanamichezo wote mahiri hapa Ulimwenguni ni watu weusi.
Pele - Mchezaji bora wa soka wa wakati wote.
Mohammed Ali - Mcheza ngumi bora kabisa
Kuna wanariadha kama akina Jesse Owens ambaye alidharauliwa na Hitler kisa rangi yake lakini baadae Hitler alikuja kumkubali mwenyewe.
Akina Serena Williams kwenye Tennis.
HelloSijambo my broda... Missing you all
Safi sanaMpaka hapo sina cha ziada tukutane kesho hapahapa kwa Udhamini wa Kiingilio bure.