Makapuku Forum

Makapuku Forum

Aaaah
Alikuwa bonge ya beki
Alaf alikuwa pande la mtu

Sir alex anasema kuna siku alienda kwa gary akauta mke wake kamtengea ki boks cha chocolate

Sasa yeye gary alivo muona Sir aka kimbilia chumbani
Hao ndio waliompa Fergie mafanikio yake ya awali kwa kutengeneza ukuta mgumu na Steve Bruce kando ya Peter Schmeichel aka Big Dane
 
1e9ffc1435307f04154a599e04361dc8.jpg
9f5132dadf31379bcce12c40db6ff11a.jpg

Real
........
Tupe na picha ya Jesse Owens mwanariadha toka USA
 
Hao ndio waliompa Fergie mafanikio yake ya awali kwa kutengeneza ukuta mgumu na Steve Bruce kando ya Peter Schmeichel aka Big Dane
Hahaha
Fergie alimpenda sana huyu dogo
Anasema walikuwa wana cheza mpira Pallister ana bishana na Schemicel ana mwambia, Schemicel ni mjerumani

Pallister-Go to your goal yo bloody germany

Schemicel-Am not a German you fool

Pallister-what ever, German colonized u any way

Babu ana sema alikuwa ana enjoy kuwaona hao watu kila day
 
hahaha...ilikuwa hatari
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom