briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Kumbe yuko pembeni yako hapo??Nimekuona mwaya nafsi imetulia tuli(najitahidi kukunong'oneza hapa braza Th Name asiskie![]()
)
dah jamaa nae atakua anakaba mpaka penatiKumbe yuko pembeni yako hapo??Nimekuona mwaya nafsi imetulia tuli(najitahidi kukunong'oneza hapa braza Th Name asiskie![]()
)
dah jamaa nae atakua anakaba mpaka penatiKumbe yupo pembeni yako hapo??Ameshasikia tayari![]()
![]()
![]()
dah jamaa nae atakua anakaba mpaka penatiMungu ni mwema kaka...kanijalia tena pumziEeeh
Niko vizuri natumai umiamka salama
Ndio hataki kuibiwa mali yakeKumbe yupo pembeni yako hapo??![]()
![]()
dah jamaa nae atakua anakaba mpaka penati
Asante my wii
Habari za leo dadaNimezipokea mpendwa wangu, missing you brother
Leo katika Historia.
1937 - Namba ya kwanza ya dharura (Emergence number) duniani yazinduliwa huko London Uingereza. Namba hiyo ilikuwa ni 999
Niko pouwa sana kakaake, umemuona wapi shemejio sumbai ?Miss u more dadake, hope uko poa kabisa
Leo katika Historia:
1960 - Ni siku ambayo Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu wa Kongo ( Zaire ) inajipatia Uhuru wake toka kwa Ubelgiji.
Haha uzuri mi sio mwizi.. ni upendo wa agape tuNdio hataki kuibiwa mali yake
Hahahaa! Ya kweli hayo?Haha uzuri mi sio mwizi.. ni upendo wa agape tu
Leo katika Historia.
1965 - Gary Pallister mchezaji wa zamani wa Man Utd na Timu ya Taifa ya Uingereza anazaliwa. Alikuwa akicheza nafasi ya beki.