Hapa sawa sasa, niaje lakin?Nipo my Wii
Mambo
Hayo mambo tumuachie Jimena anaweza, utamuona night kali hapa na bado asubuhi asubuhi utamuona na magazeti yake, she's doing great aseeHahahaa
Segment za asubuhi za taka moy kwa kweli
Ahsante kwa magazetiView attachment 361389View attachment 361390
Kutoka magazetini sina la ziada...
Asanteni sana kwa kuwa pamoja nami
Ciao!
Nimezipokea mpendwa wangu, missing you brotherSalam zangu zikufikie popote ulipo
Powaaa mzima wwHapa sawa sasa, niaje lakin?
Sijambo my broda... Missing you allMorning wa kupotea
Umeamkaje!!?
Ndio nakuja...Safi sanaaaa
Sasa tunamsubiri Mussolin5 atupe leo katika historia..
Amechelewa kidogo leo au sijui mi ndo nimewahi zaidi??
Nimekuona mwaya nafsi imetulia tuli(najitahidi kukunong'oneza hapa braza Th Name asiskieNimeibuka tayari![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
)Mi niko poa kabisa dadakePowaaa mzima ww
Tumekuona, mambo niajeeeNimeibuka tayari![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hayo mambo tumuachie Jimena anaweza, utamuona night kali hapa na bado asubuhi asubuhi utamuona na magazeti yake, she's doing great asee
Ameshasikia tayariNimekuona mwaya nafsi imetulia tuli(najitahidi kukunong'oneza hapa braza Th Name asiskie![]()
)

Siye pia huwa tuna kumissSijambo my broda... Missing you all
Hahahaa asante kwa kuniona. PowaaaTumekuona, mambo niajeee
Miss u more dadake, hope uko poa kabisaNimezipokea mpendwa wangu, missing you brother
Nafurahi kuskia hivyoMi niko poa kabisa dadake