_MME na MKE walikubaliana WAPEANE talaka TENA mahakamani,KUFIKA mahakamani_
_JAJI=sasa nyie mnao watoto watatu mtagawana vipi hao watoto???_
_Mke na mme wakajadiliana paaaleee,wakaamua wamwambie JAJI kwamba ''NGOJA TURUDI NYUMBAN TUKAONGEZE MTOTO MMOJA WAWE WANNE ILI TUGAWANE WAWIL WAWILI,BAADA YA MWAKA TUNARUDI''_
_baada ya MIEZI TISA kupita,WAKAPATA MAPACHA_[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115]
Karibu mutu yangu[emoji15] [emoji15] hata mie nakuona.
Nashukuru [emoji41] [emoji41] [emoji41]Pole kwa kilimo mkuu[emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mi ni anti jujuNgoja nimpige juju
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
.....
Merci Papaa[emoji120]Karibu mutu yangu
OuiMerci Papaa[emoji120]
Hakuna namna, waendelee kuishi pamoja tu
They have no ujanja
.........
Halipingiki hilo kabisa.Their destiny ni kuishi pamoja forever.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]