briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Tupo mkuu tunapisha muda tuInapendeza sana,
Vipi kitambo sana kaka mishe zimekaaje lakini?
MANDELAA KIWELU na briz Siwaoni kabisa.
Tupo mkuu tunapisha muda tuInapendeza sana,
Vipi kitambo sana kaka mishe zimekaaje lakini?
MANDELAA KIWELU na briz Siwaoni kabisa.
HahahaDuuh...mimi wamenisahau
Panga pangua inaendelea
HakikaHuyo ndio Jose ninayemkubali. Heshima imerudi mjini
Kuna bonge la mvinyo kaka, mwenyewe nataka niitafute niionjeWinners chapel kuna nini???![]()
Bado.... Tuko kwenye maandaliziMakapuku haijatoa mkuu wa wilaya?
Muda wenyewe ndo huu dadakeNi kweli Briz muda wake bado
Hongera sana wifiMimi apa
Mkuu WA wilaya maalum![]()
![]()
![]()
Ni vipi hivyo???Vigezo vya mwaka huu vimedalika
Kulipa fadhila tuMh!!! Wilaya gani? ....hivi nini kigezo cha kuteuliwa???
Habari za hapa makapuku![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sanaaa, wewe je??Natumai mnaimalizia wikend yenu vyema kabisa
Tuko vizuri mkuu, ramadhan kareem & saum maqboolwakuu nipo Salama,natumai nyote ni wazima Pia ..
Jimena, Cobblepots briz
Na Wadau Wote Nawatakia Mfungo Mwema ..
Katika wakuu wa mikoa huyo ndie nilimwona ana nyota ya jaha!Mulongo alifikia hatua ya kujiona mungu mtu.
Asante kwa taarifa
Vigezo vya mwaka huu vimebalika