Ni njema kaka mkubwa, za kupotea?Wadau habari za Jumapili?
Ako na wezele???Mimi apa
Mkuu WA wilaya maalum![]()
![]()
![]()
Salama, habari ya weekend wiiNiadje wangu???
Hujakosea, cjui kwa upande wakoNatumai mnaimalizia wikend yenu vyema kabisa
Imakaa poa sana hiyo anabidi aifanye daily kama wewe na SzczesnyAsante....
Hii segment imekufaa sana sasa hakikisha kila siku unaendelea nayo
HandeniMh!!! Wilaya gani? ....hivi nini kigezo cha kuteuliwa???
Niadje??Natumai mnaimalizia wikend yenu vyema kabisa
Vigezo vya mwaka huu vimedalikaAko na wezele???
Fresh sana kiongozi, weka kautaratibu cha kila sikuLeo katika Historia.
Wamezaliwa wachezaji kadhaa tarehe kama ya leo.
Samir Nasri - Mchezaji wa Man city amezaliwa tarehe kama ya leo miaka 29 iliyopita.
Joel Campbell - Mchezaji wa Arsenal amezaliwa tarehe kama ya leo miaka 24 iliyopita.
Ni poa my wiiSalama, habari ya weekend wii
hahaha...Linatumia mafuta ya mawese
![]()
![]()
![]()
..........
Duuh...mimi wamenisahauNaona Godwin Gondwe kaula ukuu wa wilaya
Teh teh teh
Vigezo vya ukuu wa wulaya si uwe tu mwana chama wa CCM usha malza hapoMh!!! Wilaya gani? ....hivi nini kigezo cha kuteuliwa???