Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hata shetani hapendi kukuona ukifurahi au mkishikamana, kwake ni tatizo.
Hivi hapa tunamuudhi nani?
Tunatumia pesa ya mtu?
Je twawashambulia wengine?
Mwadamu ni kiumbe hatari na wa ajabu sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na kweli
Sasa kama huyo hana sababu
Kaanza tuu, huo ni wivu kiwango cha juu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kinacho wakera hasa ni nn!!?
d51b4be19a3c6d517888028488bc7025.jpg

W.I.VU
kumbuka CC zipo thread kibao tu za wakongwe tena wameandikana na majina km sisi lkn sisi hatukuenda kuzinguana nao na tyr zimejifia

KAPUKU FORUM IPO JUU HIVYO LAZIMA WAKONGWE PAMOJA NA WASAKA KICK WAJAMBEJAMBE

TIWAIGNORE TU
..............
 
Back
Top Bottom