MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,444
- 69,265
hahaha Fergie alikuwa anaogopeka na marefa kiasi cha marefa wenyewe wanajikuta wanakuwa na presha kubwa na mwisho wa siku wanatuzawadia penati na mbeleko nyingine.![]()
Logo yetu ya zamani kipindi cha Babu Fergie
![]()
![]()
![]()
![]()
........
hahaha Fergie alikuwa anaogopeka na marefa kiasi cha marefa wenyewe wanajikuta wanakuwa na presha kubwa na mwisho wa siku wanatuzawadia penati na mbeleko nyingine.
We miss u Fergie
Morning ShululuMorning makapuku
AnhaaaNumeanza kushabikia Man utd, siku Cantona alipostafu kucheza Man utd. 1997.
Unazi ukakolea zaid baada ya treble season ya 1999.
Nikawa sikosi mechi yoyote ya United toka msimu wa 2003-04. Nimefatilia kwa kina sana mechi nyingi za United msimu kwa msimu mpaka Sir Alex anastaafu.
Baada ya hapo utawala wa Moyes na LvG sijawahi kuwaelewa na hata mechi nimeanza kuangalia kwa kusuasua japo nimebaki loyal na Man Utd na sijawahi kufikiria kuhama klabu, Once a Red always Red.
Najiandaa kurudi kwa kishindo hasa huku mtaani kwangu baada ya appointment ya Jose Mourinho.
Kwa kifupi Mimi ni Man Utd Damu ambaye sijawahi kutetereka hata siku moja. Ila najua una wasiwasi na mimi kuhusu CR7. Kwangu mimi Messi ni bora kuliko Ronaldo. Hivyo yaani.
Am gud bhana mkubwaPoa kaka mzima wewe?
🙂🙂🙂🙂
Jimena yuko vizuri kwa kweli
Duh!!!....nine years ago??? Miaka inakimbia!!!Leo katika Historia.
Tarehe kama ya leo miaka 9 iliyopita, aliyekuwa mbunge wa viti maalum CCM, Amina Chifupa alifariki Dunia katika hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar Es Salaam.
EeehDuh!!!....nine years ago??? Miaka inakimbia!!!
Mama Rahmaninho sijui nimepatia jina?

Jimena yuko vizuri kwa kweli
Kiwelu kwa kweli cja muona nna miaka miwili humuInapendeza sana,
Vipi kitambo sana kaka mishe zimekaaje lakini?
MANDELAA KIWELU na briz Siwaoni kabisa.
Sasa bado kuanzisha tawi tuHahaha
Najikaza natufta nizipate mapema
Nisha pata mawasiliano na winners chapel
Njema kabisa mkuu, habari ya wewe?Wadau habari za Jumapili?
G G M UNumeanza kushabikia Man utd, siku Cantona alipostafu kucheza Man utd. 1997.
Unazi ukakolea zaid baada ya treble season ya 1999.
Nikawa sikosi mechi yoyote ya United toka msimu wa 2003-04. Nimefatilia kwa kina sana mechi nyingi za United msimu kwa msimu mpaka Sir Alex anastaafu.
Baada ya hapo utawala wa Moyes na LvG sijawahi kuwaelewa na hata mechi nimeanza kuangalia kwa kusuasua japo nimebaki loyal na Man Utd na sijawahi kufikiria kuhama klabu, Once a Red always Red.
Najiandaa kurudi kwa kishindo hasa huku mtaani kwangu baada ya appointment ya Jose Mourinho.
Kwa kifupi Mimi ni Man Utd Damu ambaye sijawahi kutetereka hata siku moja. Ila najua una wasiwasi na mimi kuhusu CR7. Kwangu mimi Messi ni bora kuliko Ronaldo. Hivyo yaani.
Amenasante kwa ushauri na nitaufanyia kazi mkuu!!
Mi mzima sana hofu kwako tu