Makapuku Forum

Makapuku Forum

Anhaaa
Bas sawa

Maana nmeona hate yako kwa ronaldo iko juu kama PNC 1

Ronaldo aliwahi kuwa mchezj wa man u pia mkuu, ndo mchezaji pekee wa man u kutwaa ballon d'or akiwa pale
Hahaha mimi sijawahi kumchukia Ronaldo ila mnapomlinganisha na Messi hapo ndio unapoona namchukia.

Ni sawa uniambie De Gea ni bora kuliko Neuer tutabishana mpaka asubuhi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom