Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mkuu Szczesny Namkubali sana CR7 kwangu mimi yeye ndio mchezaji bora wa kigeni kuwahi kucheza EPL kando ya TH14 na Bergkamp.

Siwezi kumu-underrate hata kidogo, mchango wake klabuni Man Utd ni mkubwa sana, alijitolea kila kitu na hata pale alipotaka kuhama 2008 babu alimshawishi abaki kwa msimu mmoja zaidi na akakubali.

Hata leo na umri wake ule akisema anarudi OT miminitamkubali kwa mikono miwili kabisa! Yule ni shujaa wetu hasa kizazi hiki ambacho hatukumfaidi King Eric Cantona akiwa anacheza pale OT.

Nakala kwa;
Jimena Th Name Bitoz
 
Safi kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom