Szczesny
JF-Expert Member
- Apr 15, 2016
- 7,180
- 25,925
Thanks kwa kuleta habar kama hvoView attachment 360254View attachment 360255
Kutoka magazetini sina la zaidi.... Nawatakia jumapili njema na siku njema ya mapumziko
Ubarikiwe
Thanks kwa kuleta habar kama hvoView attachment 360254View attachment 360255
Kutoka magazetini sina la zaidi.... Nawatakia jumapili njema na siku njema ya mapumziko
Oya mwanangu jana ndo ukasepabasi sawa
Apumzike kwa amani![]()
Kila nikiangalia sura yake......roho inauma
Mapenzi ya Mungu hayo
Mfano mm nilifiwa na best friend nikiwa Advance hadi leo nahisi km nilionewa
.........
Ahsante mzee wa historiaLeo katika Historia.
Wamezaliwa wachezaji kadhaa tarehe kama ya leo.
Samir Nasri - Mchezaji wa Man city amezaliwa tarehe kama ya leo miaka 29 iliyopita.
Joel Campbell - Mchezaji wa Arsenal amezaliwa tarehe kama ya leo miaka 24 iliyopita.
Leo katika Historia.

IGNORE HIMKuna watu wana shangaza yaan ana chuki na makapuku kias ana kuja kutusema huku huku
Alaf ina onekana wa siku nyingi ila kafungua ID ya pili kwa lengo hilo tuu
Habari ya jumapiliMorning
Nme amka vzuriHabari ya jumapili
Leo katika Historia.
Siku ya uhuru wa Madagascar ambapo walipata uhuru wao tarehe kama ya leo, mwaka 1960 toka kwa Wafaransa.
Asante....Leo katika Historia.
Siku ya uhuru wa Madagascar ambapo walipata uhuru wao tarehe kama ya leo, mwaka 1960 toka kwa Wafaransa.
Nenda kale heshima irudi nyumbani maana hamna namna sasaMwenye taarofa zaid juu ya pweza atuekee habar kamili
AmenThanks kwa kuleta habar kama hvo
Ubarikiwe
Ana idea nzuri ila kama hakoAsante....
Hii segment imekufaa sana sasa hakikisha kila siku unaendelea nayo