Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Mambo yako mazuri wewe.... Ndo maana unaamka saa tatu na zaidiNimeamka salama,wewe je
Mambo yako mazuri wewe.... Ndo maana unaamka saa tatu na zaidiNimeamka salama,wewe je
Akhsante sana!View attachment 360254View attachment 360255
Kutoka magazetini sina la zaidi.... Nawatakia jumapili njema na siku njema ya mapumziko
Nimeyapata!! Shukrani sanaSi unajua tena mambo ya weekend! Ila Natumai umepata kuyapitia yote sasa
KaribuNimeyapata!! Shukrani sana
Niko salama piaNimeamka salama,wewe je
Ya kumrudia bwana! ili uweze kumuabuduMaombi gani??
SanteeKaribu
Ooh jamaniLeo katika Historia.
Tarehe kama ya leo miaka 9 iliyopita, aliyekuwa mbunge wa viti maalum CCM, Amina Chifupa alifariki Dunia katika hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar Es Salaam.
So sadLeo katika Historia.
Tarehe kama ya leo miaka 9 iliyopita, aliyekuwa mbunge wa viti maalum CCM, Amina Chifupa alifariki Dunia katika hospitali ya Jeshi Lugalo jijini Dar Es Salaam.
MorningMorning all
Ooh jamani
Nammiss sana Chifupa
Aendelee kupumzika kwa amani
Mwenye taarfa zaid juu ya pweza atuekee habar kamili
Apumzike kwa amani.Ooh jamani
Nammiss sana Chifupa
Aendelee kupumzika kwa amani
So sad
Nilimpenda
.........