Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jambilo uko vyema ki uchambuzi
Wakati jamaa wanataka kujitenga ckujuaga hasa kwanini wanataka kutoka, ndipo nilipoanza kufuatilia nkaona jamaa wako sahihi kujitoa kwani wanataka kulinda ajira zao.
Kwasasa wageni wamezidi kupora ajira zao kwa kigezo cha sera za eu kuwa ukiwa nchi mwanachama vile vikwazo vya viza na kufanya kazi vinaondolewa.
Hivyo kujiondoa kwao ajira nyingi zinakuwa za raia na uchumi wao unaweza kuwa mzuri baadae japo kwa sasa watayumba sio chini ya mwaka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom