Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Sawa kabisaItabidi wao na northern Ireland
Sawa kabisaItabidi wao na northern Ireland
Kuna mtaalamu wangu kaniambia wa scotish wana chukulia hayo masuala kama mawili tofautiItabidi wao na northern Ireland
Sawa kabisa
Sina maana hiyo!!Teh sasa mkuu hilo ni shambulio la wazi kwa bitoz
Cc jimenaNaaam
Italy vs Spain
The gem to watch
Hivi timu yetu sweeden walishia wap!?
iko poa namshukuru mungu harakati zinatiririka.Imeenda vizuri sanaaaaa.....
Weekend yako je??
Kausha basiiiiNaaam
Italy vs Spain
The gem to watch
Hivi timu yetu sweeden walishia wap!?
Wale Sweden wanamtegemea Kadabra pekee yake wamepigwa, wametolewa. Leo ni birthday ya Leo Messi hebu pita kule jukwaa la michezo utoe wishes zako.Naaam
Italy vs Spain
The gem to watch
Hivi timu yetu sweeden walishia wap!?
Ni kweli alichokwambia,Kuna mtaalamu wangu kaniambia wa scotish wana chukulia hayo masuala kama mawili tofauti
Ila pia wao ni rahis kutoka kuliko Ireland
Safi kabisaiko poa namshukuru mungu harakati zinatiririka.
Amekugusa eeh?Kausha basiiii
Msimu ujao timu utaimarika zaidiWale Sweden wanamtegemea Kadabra pekee yake wamepigwa, wametolewa. Leo ni birthday ya Leo Messi hebu pita kule jukwaa la michezo utoe wishes zako.
Tatizo anapenda sana kunitaniaAmekugusa eeh?
Hebu ngoja tuone itakuaje. Waziri ameshasema ikifika October atajihuzuluKuna mtaalamu wangu kaniambia wa scotish wana chukulia hayo masuala kama mawili tofauti
Ila pia wao ni rahis kutoka kuliko Ireland
Wale Sweden wanamtegemea Kadabra pekee yake wamepigwa, wametolewa. Leo ni birthday ya Leo Messi hebu pita kule jukwaa la michezo utoe wishes zako.
Basi sawaaaaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nauliza kwa nia njema cku fuatilia
Wale walioshindwa kutufinga basi wasahau kwa sasa! New era, New hope. #BelieveMsimu ujao timu utaimarika zaidi
Jambilo uko vyema ki uchambuziPamoja na hayo utatokeamtikisiko wa uchumi kwa muda, kuanzia leo pound imeshuka sana, japo baada wataimarika mnoo kiuchumi