Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Safi kabisaHahahaha
Aaah
Mi mwenzio kuhama haiwezekan
Safi kabisaHahahaha
Aaah
Mi mwenzio kuhama haiwezekan
Namkubali toka akiwa United kipindi kile cha Glory days under Sir Alex lakini nikimlinganisha na Messi, Messi hana mfani wake.
Ujerumani nipo sanaSawa bas uje tuu ujeruman mpaka hapo nayo itakapo toka
Ndio hivyo sasaMaana hamna namna sasa
Yaliyopita yamepita mkuuNilikuwa namchukia Messi lakini baada ya kutufunga na kutunyanyasa kwenye Uefa hasa ile fainali ya 2011 pale Wembley mpaka Sir Alex akatetemeka toka siku ile niliacha kumchukia Messi, jamaa yuko level nyingine hebu ntajie beki kisiki ambaye hakuaibishwa na Messi?
Mimi siasa za bongo baada ya kuona hazilipi now nko radhi hata nifuatilie siasa ya trinidad and tobago wenzetu wana jitambua kwl kwlWakati jamaa wanataka kujitenga ckujuaga hasa kwanini wanataka kutoka, ndipo nilipoanza kufuatilia nkaona jamaa wako sahihi kujitoa kwani wanataka kulinda ajira zao.
Kwasasa wageni wamezidi kupora ajira zao kwa kigezo cha sera za eu kuwa ukiwa nchi mwanachama vile vikwazo vya viza na kufanya kazi vinaondolewa.
Hivyo kujiondoa kwao ajira nyingi zinakuwa za raia na uchumi wao unaweza kuwa mzuri baadae japo kwa sasa watayumba sio chini ya mwaka
Mmmmmh mi kwakweli Binafsi... Messi atasubiri sana mbele ya mrenoNamkubali toka akiwa United kipindi kile cha Glory days under Sir Alex lakini nikimlinganisha na Messi, Messi hana mfani wake.
Yaan wewe ni Minorty man u fans ambao wana mpenda messiNilikuwa namchukia Messi lakini baada ya kutufunga na kutunyanyasa kwenye Uefa hasa ile fainali ya 2011 pale Wembley mpaka Sir Alex akatetemeka toka siku ile niliacha kumchukia Messi, jamaa yuko level nyingine hebu ntajie beki kisiki ambaye hakuaibishwa na Messi?
UmetishaaaaaaMimi siasa za bongo baada ya kuona hazilipi now nko radhi hata nifuatilie siasa ya trinidad and tobago wenzetu wana jitambua kwl kwl

![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Maskin sweeden, timu ytu hyo
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Birthday ya Messi mi ya nn
HahahahaHivi itawezekana kweli??
Au tubaki kwenye hockey tu??? Maana Sweden iko vizuri sana kwenye mchezo huo
Cr 7 ndo habar ya mujiniCR7 ama nene![]()
![]()
![]()
![]()
Sir Alex mwenyewe alisema bora RinaldoHata kama ni mpenzi nambari moja wa Yanga usiiombee mabaya Simba!
Kwani Simba ikifa Yanga atapata wapi tena Upinzani wa kujaza watu Uwanjani kama Zamani?
( In Afande Sele's Voice )
Haya bhana subirini Messi astafu ndio muanze kumuenzi.Mmmmmh mi kwakweli Binafsi... Messi atasubiri sana mbele ya mreno
Umetishaaaaaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

Mimi niko tofauti kidogo, ni sawa na wale Madridista waliompigia na kusisimama uwanjani tena Santiago Bernabeu kumpa heshima Iniesta.Yaan wewe ni Minorty man u fans ambao wana mpenda messi
Sawa sawa na myahudi kumpenda hitler
Linganisha vizuri tenaNamkubali toka akiwa United kipindi kile cha Glory days under Sir Alex lakini nikimlinganisha na Messi, Messi hana mfani wake.
ila ni sehemu ya historyYaliyopita yamepita mkuu