Makapuku Forum

Makapuku Forum

Karibuni ranchi
1466763370021.jpg
24468236a41c56cf1ebc7a3e0623d70b.jpg
 
MAAMUZI MAGUMU NI YAPI? . MAAMUZI MAGUMU.
1. Huna uhakika wa kula na elfu moja pekee
uliyonayo unaamua kuinywa Kiroba - Ni
maamuzi magumu.
2. Huna kitanda na unaamua kuoa - Hayo pia ni
maamuzi magumu.
3. Huna uwezo wa kumlisha mkeo na unampa
ujauzito - Ni maamuzi magumu.
4. Shule haina waalimu unampeleka mwanao -
Pia ni maamuzi magumu.
5. Daladala imejaa mpaka mlangoni na unaamua
kupanda - Ni maamuzi magumu.
6. Unalipwa laki mbili unamhonga binti laki moja
- Hayo ni maamuzi magumu.
7. Kama utasoma hapa na kushindwa kuweka
maamuzi magumu unayoyajua - Utakuwa
unamaamuzi magumu mnoo...!
8.kujilinda mda wote na salama na baadae
unakufa kwa malaria ni maamuzi magumu
Tiririka na wewe uongeze maamuzi magumu
unayoyajua
9. Maana Ukisoma bila kushare nayo pia ni
maamuzi magumu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom