MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,453
- 69,340
Kweli kabisa,
Mambo mengine vipi?
Poa kabisa,
Nafurahi Dar joto lina pungua kila siku.
Kweli kabisa,
Mambo mengine vipi?
Nmegoma kulala whera is BitozLala sasa
kwanza nahisi Bitoz ndo anayesababishwa nipigwe Ban coz haiwezekani cku nkimtania tu lazima nilambwe joker.
Ni kweli kabisa, joto ni kero kubwaPoa kabisa,
Nafurahi Dar joto lina pungua kila siku.
Apigwe tuNmegoma kulala whera is Bitoz![]()
kwanza nahisi Bitoz ndo anayesababishwa nipigwe Ban coz haiwezekani cku nkimtania tu lazima nilambwe joker.
kesho ntamkomesha![]()
Una hamu ya ban nyingine eeh??Najisikia kutukana..!
Ndio my wiiNdo unalala??
Ni kweli kabisa, joto ni kero kubwa
Usiku mwema dear wifiNdio my wii
Ikifikia hapo sasa ndo inakuwa balaaIla sasa hivi limepungua kidogo,
kuna kipindi hata kuvuta hewa inakuwa shida tupu.
Mpe ujumbe wangu kesho, lazima nimuandame vibaya sanaa.Apigwe tu
Ikifikia hapo sasa ndo inakuwa balaa
Kwani na wewe pia ni moderator?Una hamu ya ban nyingine eeh??
Thank youJimena usiku mwema mama,
Will check you kesho.
Hehehehe thubutuuuKwani na wewe pia ni moderator?![]()
T G I F