MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,452
- 69,332
Nimefurahi kwakweli
Sikujua kuwa nawe umenimiss kiasi hicho,
Miss you more..... Hivi ulipotelea wapi??
Asante. Na kwako piaUsiku mwema
Sasa kulikuwa na shida ya network au uliamua kuchill tu??Kuna sehemu nilijichimbia huko Arusha.
Sasa kulikuwa na shida ya network au uliamua kuchill tu??
Basi utakuwa ulikuja mida yako ya majeruhiKuna mishe zilintinga mama,
Japo juzi nilikuja lakini sikukuona, nikahisi utakuwa umelala.
Wanalalaje mapema hivyoHaahaa hiyo RPG sasa.
Wamelala bwana.
Basi utakuwa ulikuja mida yako ya majeruhi
Nahisi nilikuwa nimelala tayari
Kesho kazini,Wanalalaje mapema hivyo
Lala sasaLeo nko nmelewa sanaaa![]()
ucku mwema jamani
Kweli kabisa,Kweli nilichelewa kidogo.
Nikasema lazima nitakutumia PM.
Kesho kazini,
Wengine wanatimiza masharti ya mfungo.
Najisikia kutukana..!Kwako pia kiongozi.