Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Chezea brizNi dadangu kipenzi afu she's already taken, mi nataka mupya
Chezea brizNi dadangu kipenzi afu she's already taken, mi nataka mupya
Ulipajuaje??Hapo siyo mabibo kweli
Nawe pia,pamoja na shemeji![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ndio naenda kubembeleleza ndoa..
Uwe na usiku mwema

Wanajamvi,
Msinielewe vibaya hasa maswaiba wangu wa Makapuku Forum kwa swali hili....hii yote nikutaka kutaka kuelimishwa,maana naona haina ukomo sasa naulizwa ni forum ndani ya forum??Na mwisho wake ni lini?au haiwi closed topic??
Asante nawakilisha.
Were unaham ya kuchambwa. Subiri wake
Kimsingi JFIleee iliyokuwepo enzi zile sio hii ya sasa. Hao wanaojiita makapuku wamefanya forum kuwa kijiwe cha mipasho. Nawashauri waungane na Mzee yusuph
Kuna forum inaitwa hivyo "Makapuku Forum"sasa huwa sijui ni pin thread au ni sub forum hata haieleweki.
Mkuu KakaKiiza,
Makapuku Forum sio forum ndani ya forum. Wala sio subforum. Ni thread iliyoanzishwa na wanachama wa jukwaa pendwa la CC (ChitChat) ambao wanakutana na kupiga soga.
Asante.
heheheeh kakak.. wageni wamefanya mapinduzi nakumbuka enzi zenu na kina preta mchambuzi boflo kongosho philipo mwali kaunga madame b madam x n.k mlitisha sana.
acha nao wafanye yao í ½í¸
Nimeona hiyo. Hata huyo mleta mada alikuja kule kwenye ule uzi
Ni kweli.. Ningeshauri mods waondoe hao watoto
Una miaka 100 au?
Uhisivyo..
Sasa povu la nini? Ule ni Uzi kama nyuzi nyingine humu. Kama wale wanaonzisha labda wana JF wa mwanza tukutane hapa, au wale waliosoma shule Fulani tukutane hapa. Sasa kama unataka ufutwe muungane wote mreport ili mods waufute
Mods wenyewe hapo ametoa maelezo mazuri tu
Samahani sana mkuu, kwanza sikuwa naielewa hiyo makapuku ila ndio sasa nimeitembelea nimeona maudhui yake.. Hongereni sana, naona kwa siku moja mnasukuma mpaka page 20 mkipiga soga. Alafu 99% mmejiunga JF 2015 na 2016.. Nchi ya viwanda iko mbioni..
Nashukuru kwa hilo. Ndo ukaanzishwa chit chat. Nchi ya viwanda italetwa na wale walioahidi.
Nice day
Hahahaha, watu mna maneno... Kaah!
teh teh teh kanichekesha sana hapo aisee..
Hahah sio sana
Nashukuru kwa kumjibu kiungwana
Alikujaga KUTUKANA TU
Na huu uzi kuanzisha kichokozi tu mpotezee
Yy kawahi kuanzisha thread gani ya maana pale Chit Chat anasumbuliwa na wivu na km alitaka tuje tutukane ili tupigwe BAN kizembe basi asahau tunamuignore hata ajaze povu kisado kizima
Nilimuona sana.
![]()
Tusimpe kick sasa tusepe
Tumuachie lithread lake limdodee
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Poa poa
Hahahaha jamaa waji tenga na kujiita makapuku
Hahaha una tafuta ugomvi
Asante shem
Natumaini umzima
Mpe na salamu zangu piaMkuu Cobblepots natambua owepo wako
Miss yaNipo kaka Briz. Kitambo sana asee.
Kwako pia kiongozi.
Usiku mwema wifiUsiku mwema family
Na wewe pia
Poa shem langu, nimependa muonekano mpya
Hapana chezea, night dadake nakuacha na mtu mzima CobblepotsChezea briz
Miss ya
Haina majotrooooHapana chezea, night dadake nakuacha na mtu mzima Cobblepots
Hapana chezea, night dadake nakuacha na mtu mzima Cobblepots
Nimefurahi kwakweliAaah Jimena can't say how happy i am,
Hivi nilikuwa nataka nikutumie PM, kweli una maisha marefu.
Miss you Big-Time.
Vipi mishe zimekaaje?
Jina baya kabisa![]()
![]()
![]()
sio zile MAVIS ukaondoa S
Ndo unalala??