Hongera sanaila leo nahitaji pongezi kwa kweli mimi ndo MAN OF THE CHATTING leo
Uko juuNumber 2, Pintupi Nine Tribe
Hawa wako huko Australia wana ishi kwa kula sungura na kuwinda winda tuuu
Hata sasa sijapata taarifa zao ni nn na wana ishije
Maziwa yote si yataishia kwenye mashavu sasaYa kunywea maziwa hayo mashavu
NaniYeye mpaka awe na mawazo ndio apate, wengine muda wowote wanagonga
Nzuri sana.... Habari yako?Habari za muda huu wakuu
Pole sanaMm nna mawazo na BAN tu na si kingine
VipoVipi nitapata kiroba hapo?
Jaman nawaheshim woote
Asanten sana , leo nme leta top ten za kusoma zaid mjikaze
Mlikuwa nami Szczesny Carrenza de la Casa de la Fuma
Na sign off hadi wakat mwngneee
Thanks mkuuuPole sana
Basi mtalipwa nyingiSHERIA YA NDOA NA MAHARI No123 of 2016
Mahari itakuwa Tzs 700,000 na makato yafwatayo
Hajasoma - Tzs100,000
Sio bikira - Tzs 250,000
Anakuja na watoto - Tzs 80,000 × (idadi ya watoto)
Hawezi usafi - Tzs 80,000
Hawezi kupika - Tzs 50,000
Hana shughuli ya kufanya - Tzs 70,000
Mzembe - Tzs 50,000
Mlevi - Tzs 70,000
Amepiga mkorogo -Tzs 50,000
Matako bandia - Tzs 50,000
Maziwa bandia - Tzs 50,000
Kama jumla ikiwa hasi (-) basi inabidi ulipwe kwa kuchukua mzigo wao..
Pole sana mkuuLeo kumi kubwa zita wahi kdogo
Maana nna mattzo ya kiafya kidogo leo ngependa niwah kupumzika
Hawa kibokoLeo jaman tuncheki makabila kumi ambayo yamegoma kabsa kuacha tamaduni zao na kuji changanya na watu wengne wa duniani
Yaan siyo yana tunza tamaduni tuu bali hawataki mtu yyte mpya au tamaduni yyte mpyaa kabsaa kabsaaa
Yaan Isolated Tribes That Avoided Globalized Civilization
Number 10, The Surma Tribe
Hawa wanaishi, South Sudan na kusini ya Ethiopia. Kabila hili Linajumisha makabila ya Nilo-Saharan-speaking Suri, wa Mursi na wa Me’en.
Ukitaka kugombana nao waambie neno serikali wao mara nyingine huwepo ethiopia na mara nyingne hurudi sudani kusini, wanaish kwa kufuga ng'ombe na ni utamaduni wao kwa miaka zaid ya 200, toka vita za dunia ,ukoloni, uhuru mpaka vita ya wenyewe kwa wenyewe haija wahi kuwa toa kwemye maisha yao na utamaduni wao