Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,117
Ukadhani mgeni[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Umenichanganya shemeji.
Nimezoea ile avatar yako.[emoji31] [emoji31] [emoji31]
Ukadhani mgeni[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Umenichanganya shemeji.
Nimezoea ile avatar yako.[emoji31] [emoji31] [emoji31]
Hahaa ndio![emoji12] Kumbe na zenyewe zinafugwa?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sijawahi kuwa Barca. Kama ni mtabiri basi umechemsha.
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Nakuanza ww
Nasikia ww ni Kifaru
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
..........
Kwa mara nyingine tena Utabiri wako umeenda chaka.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ok, mshabiki wa Arsenal
ChelseaKwa mara nyingine tena Utabiri wako umeenda chaka.
Amekuwa mcharu eee!Umeona eeh?? Leo amenoga sana
Pole sana braza.Nipo mkuuu
Nimetoka kusinzia hapa ila naona bado kitu cha usingizi kina niandama
Mie niko salama kabisa. Siku ikoje kwako kaka?Habari yako brother.
Uko poa?
Hayaa babaakeNipo njema
.............
Mnisamehe bure majukumu yananiandamaAhsante japo sijafunga. Karibu huku bhana unapotea sana
Upatapo wasaa tusalimie kama hivi ulivyokuja yatosha dadakeMnisamehe bure majukumu yananiandama
Jonax upo hapo!
Tanzanite one.Hahahaha,nilitaka nirushe madini.[emoji23] [emoji23]
Usijali hapa Ni kisimani kama sitakunywa maji basi ntayaoga!!Upatapo wasaa tusalimie kama hivi ulivyokuja yatosha dadake
Hivi unaanzaje kwanza kushabikia barca kwa mfano??Sijawahi kuwa Barca. Kama ni mtabiri basi umechemsha.
Wametutesa sana kwenye Uefa. Japo namkubali sana MessiHivi unaanzaje kwanza kushabikia barca kwa mfano??
Hahahaaa....Nimetisha kama huyu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]![]()