Hahahhaha Alhamdulillah mfungo unayoyoma zake![]()
![]()
Umetamka vizuri!!!
Habari ya mfungo dadake
Mungu akupe wepesi ktk mfungo dadakeHahahhaha Alhamdulillah mfungo unayoyoma zake
Morning mbabaMorning all
Poa bitoz
Nzuri mbaba, habari za pande hizoMorning mbaba
Aaaamyn Insha'Allah Na wewe piaaMungu akupe wepesi ktk mfungo dadake
Nzuri and you?
Ahsante japo sijafunga. Karibu huku bhana unapotea sanaAaaamyn Insha'Allah Na wewe piaa
Ahsante kwa magazetiView attachment 358516View attachment 358517
Kutoka magazetini sina la ziada... Basi niwatakie siku njema na kila la heri
usisahau kuwa hii yote ni kwa hisani ya wa kimataifaaaaa
Nipo njemaNzuri and you?
Hahahaaaa naona umeamua kuonyesha mgogo baada ya sura kuletwa hapa. Poa mkuu, linamo hajambo?
Kaka mpendwaDada mpendwa
Ninakumisss ujue!!!Kaka mpendwa