ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
Hhahaha , sometimes walimu wasumbufu sana,yani anaweza kukuonea tu bila sababu.Hahaha nami kuna teacher alinizinguaga sana, ck moja paredi nkamtokea na Ile stiki ya ngoma, alikimbiaje! Kuanzia co Ile tukawa mabest