Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kama hukujongo kipindi wakati mkifundisha masuala ya photography O Level utakuwa umekutana na kitu kinachoitwa Oblique type of Picha ambapo inachukuliwa kwenye angle fulani amazing, unadhani kwa mbonyeo huo wa dogojanja kweli anatizama mgongo ama unamtetea tu binti yako aliyeficha sukari?
Umekumbushia mbali sana aseee.
 
Hivi unajua kuwa mimi ndo niliyemtungia lady jay dee yale mashairi wa ule wimbo wa ndi ndi ndii?
Nilidhani wewe ndo ulimkojolesha kumbe kumtungia tu mistari? Kwanza nabisha kwa mantiki kwamba Jide aliimba kwa hisia sana kuonesha jinsi alivyotendwa so kama wewe ndo mtunzi si bure nawe umekojoleshwa na yule mbwiga mlomtungia wimbo wewe na Jide!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom