Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
KatishaaaNaona jamaa ndo anatuachia sisi tuendelee kubishana then yeye anakimbia. Nimependa ubunifu wake.
KatishaaaNaona jamaa ndo anatuachia sisi tuendelee kubishana then yeye anakimbia. Nimependa ubunifu wake.
Hahahahahaha leo leo parefu sana, labda tukesheKikubwa ni support tu, ikiwezekana hata leo lazima nimpite.
Hongera kwa kutupia ya 59kKikubwa ni support tu, ikiwezekana hata leo lazima nimpite.
Unamwona huyu anayesoma plate number?
HashindwiiNahisi atarudi wikendi.
Nakomaa, ila na u-busy nao unachangia sometime.Ongeza mautundu
![]()
![]()
![]()
..........
Ishomire unashida wewUnamwona huyu anayesoma plate number?

Sio lazima uwepo 24 hrs bali ukiwa free unakinukishaNakomaa, ila na u-busy nao unachangia sometime.
Una hakika huyo ni mwanangu?Ishomire unashida wew![]()
Shida yako unakadiria uelekeo wa macho!!Una hakika huyo ni mwanangu?
tayari umefikiria palipo na udhaifu wa asili yako...just...

Itakuwa patashika.Masista watakiona
Shida yako unakadiria uelekeo wa macho!!
Kwanini usifikirie kuwa anaangalia, mgongo, miguu au hata chogo?
Hahaha![]()
tayari umefikiria palipo na udhaifu wa asili yako...just...
![]()
![]()
![]()
Naona mate yanakutoka, unataka kulamba sukari kiduchu hiviKama hukujongo kipindi wakati mkifundisha masuala ya photography O Level utakuwa umekutana na kitu kinachoitwa Oblique type of Picha ambapo inachukuliwa kwenye angle fulani amazing, unadhani kwa mbonyeo huo wa dogojanja kweli anatizama mgongo ama unamtetea tu binti yako aliyeficha sukari?
Hahahaaa.... Usitake ncheke mie.Hahahahahaha leo leo parefu sana, labda tukeshe
Jibu maswali yetu, wanazaanaje?Mambo......baaada ya kuwapiga fix ya kuhusu Fisi nimerudi tena...![]()
Unasemaje wewe..Nahisi atarudi wikendi.
Ha ha haaa nimehasiwa jamaa yangu hata sina madhara!Naona mate yanakutoka, unataka kulamba sukari kiduchu hivi