Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,272
Kwema, nakumbuka ulisema hivyo, wazima pande zako!Nipo ndugu. Nilikuwa safarini. Kwema?
Kwema, nakumbuka ulisema hivyo, wazima pande zako!Nipo ndugu. Nilikuwa safarini. Kwema?
Hayo nayo ni maamuz magumuBREAKING NEWS
Christiano Ronaldo of Real Madrid,has declared the desire to play in Africa and he has chosen to play in Tanzania under Simba sports club.
Source: Tomato Sauce.
Unasemaje, lkn usijekimbiaNahamu ya kuchokoza member yoyote hapaa...
Anayehitaji uchokozi au ubishi ajitokeze plzz![]()
Nabisha kwamba huwezi kuwa mbishi na hiyo hamu uliyonayo si ya kuchokoza labda ni ya ku ndi ndi ndi, bisha tuone!


Ndo wowowooo... la Wema ninii??Kama kweli umehasiwa hebu iangalie picha hii kwa muda halafu uniambie umejisikiaje. This is a psychological test. Nothing less nothing more!
![]()
Hii ni USA Baby... Cherokee D'As.s...Enzi zileeee!![]()
![]()
Ndo wowowooo... la Wema ninii??
Hakuna ukweli wowote kwa hilo.Umeweza, japo niliwahi kusikia wana double sex
Safi kabisa. Ni mwendo wa Hapa Kazi tu mpaka kieleweke! Nimekuta Makapuku forum inazidi kuchanja mbuga mpaka watu wanauliza what's going on? Mbona kuna forum nyingine ndani ya Jamii Forum?Kwema, nakumbuka ulisema hivyo, wazima pande zako!
Sasa hapo ni pole ama hongera maana ile ndude ukiwa nayo ina karaha yake bhana...unaweza kumwagiwa hata maji ya moto ati kwa kuwa umekutwa umesimama na Yasinta wakati ulikuwa unamuuliza habari za shamba za matikiti maji huko bonde la mto mpiji!

Hahahaaa.... Duh!!Hii ni USA Baby... Cherokee D'As.s...Enzi zileeee!

Pole sana jamaa yangu.Yule ni moja wa member hapa Jf ambao wamesababisha nkapigwa Ban. Maana nlikuwa napenda kumchokoza sana.. nahisi sasa hivi atakuwa ameshanipiga ignore list maana simpati kabisa
Hujui kubishana wewe labda uwe mbishi tu.Nahamu ya kuchokoza member yoyote hapaa...
Anayehitaji uchokozi au ubishi ajitokeze plzz![]()
Shiiii...Nilidhani wewe ndo ulimkojolesha kumbe kumtungia tu mistari? Kwanza nabisha kwa mantiki kwamba Jide aliimba kwa hisia sana kuonesha jinsi alivyotendwa so kama wewe ndo mtunzi si bure nawe umekojoleshwa na yule mbwiga mlomtungia wimbo wewe na Jide!
Tumethubutu mbali na vikwazo vya hapa na paleSafi kabisa. Ni mwendo wa Hapa Kazi tu mpaka kieleweke! Nimekuta Makapuku forum inazidi kuchanja mbuga mpaka watu wanauliza what's going on? Mbona kuna forum nyingine ndani ya Jamii Forum?
Tunazidi kuchanja mbuga!Tumethubutu mbali na vikwazo vya hapa na pale
Likiungua tutakimbilia wapi?Natoka kidogo.. ila nikirudi lazima jukwaa liwake moto.. coz leo niko free
SureTunazidi kuchanja mbuga!